Posts
Showing posts from April, 2017
LIGI KUU ZENJ YAKARIBIA KUMALIZIKA KUTAFUTA TIMU 8 BORA NA 12 ZAKUSHUKA DARAJA
- Get link
- X
- Other Apps
LIGI KUU ZENJ YAKARIBIA KUMALIZIKA KUTAFUTA TIMU 8 BORA NA 12 ZAKUSHUKA DARAJA Mzunguko wa 33 wa ligi kuu soka ya Zanzibar kanda ya Unguja unatarajiwa kuanza rasmi kesho Ijumaa kwa kupigwa michezo mitatu katika Viwanja viwili tofauti Amaan na Fuoni. Ratiba ya mzunguko wa 33 ligi kuu ya soka Zanzibar kanda ya Unguja hiyo. Ijumaa 28/4 Kipanga vs KVZ saa 10:00 Fuoni. Ijumaa 28/4 KMKM vs Malindi saa 10:00 Amaan. Ijumaa 28/4 Taifa vs Chuoni saa 1:00 usiku Amaan. J/mosi 29/4 Polisi vs Kijichi saa 10:00 Fuoni J/pili 30/4 Mafunzo vs Miembeni saa 8:00 Amaan J/pili 30/4 JKU vs Mundu saa 10:00 Amaan J/nne 02/5 Chwaka vs Zimamoto saa 8:00 Amaan J/nne 02/5 B/Sailors vs Kimbunga saa 10:00 Amaan J/nne 02/5 Kilimani C vs J/Boys saa 1:00 usiku. Timu 2 kati ya nne zilizojihakikishia kutinga hatua ya 8 bora kutoka kanda ya Unguja ni kinara JKU yenye alama 69, Jang’ombe Boys alama 66 huku Taifa ya Jang’ombe iliyopo nafasi ya tatu na Zimamoto inayokamana nafasi ya nne...
CITY KAMILI KUWAKABILI SEBLEN LEO, KAMBI YA MUDA MREFU YAWAPA KIBURI
- Get link
- X
- Other Apps
CITY KAMILI KUWAKABILI SEBLEN LEO.. Timu ya Miembeni City imemaliza mazoezi yake ya mwisho jana asubuhi ya kujiandaa na mchezo wao wa pili hatua ya nne bora ligi daraja la kwanza taifa Unguja dhidi ya Seblen mtanange ambao utavurumishwa katika dimba la Amani mjini Unguja. Miembeni City ambayo katika mchezo wake wa awali katika hatua hiyo ya nne bora iliibuka na ushindi wa magol 2-0 dhidi ya timu ya Charawe nakuendelea na maandalizi yake katika kambi ya timu hiyo iliyopo Dim ani wilaya ya magharibi B Unguja. Mkuu wa kitengo cha habari na mawasiliano wa timu hiyo Ali Khamis Ibny amesema ushindi katika mchezo wa awali dhidi ya Charawe uliamsha hamasa katika kambi yao na vijana wapo katika motisha ya hali ya juu yakufanya vyema katika kila mchezo uliopo mbele yao. Ibny Khamis amesema timu hiyo yenye maskani yake Mtaa wa Miembeni wilaya ya mjini Unguja inaingia katika mchezo wa kesho na Seblen wakiwa na ari yakuibuka na ushindi huku maandalizi yao yakiwa yanarizisha kwa hali ya ju...
DABI YA JANG'OMBE TAIFA HOI,WALIMWA KADI NYEKUNDU
- Get link
- X
- Other Apps
NA BIN GHULLAM DABI YA JANG'OMBE TAIFA HOI,WALIMWA KADI NYEKUNDU, WASHABIKI WAREMBEA CHUPA ZA MAJI UWANJANI mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa AMANI tarehe 25/4/2017 kati ya TAIFA YA JANGO'MBE wakombozi wa ng'ambu dhidi ya JANG'OMBE BOYS umemalizika kwa timu ya JANG'OMBE BOYS kushinda kwa goli moja kwa bila goli lililofongwa kwenye kipindi cha pili cha mchezo huo mpaka kipindi cha kwanza kinamalizika hakuna alieweza kuliona lango la mwenzake ikihesabika kwenye score boad 0-0 pia hata kadi moja ilikuwa bado haijatolewa licha ya mchezo huo kuchezwa kwa kukamiana pande zote mbili Dakika chache tu kurudi katika mapumziko ndipo zikaanza kutolewa kadi ya kwanza ya njano kuoneshwa mchezaji Andrian Mutu na baadae kuja kuoneshwa ya pili na kufutiwa na kadi nyekundu. Hadi mwisho wa mchezo BOYS 1 - 0 TAIFA ambapo mfungaji akiwa ni KAMÄ°S MUSSA (TRUMP) DKK 86 KAMÄ°S MUSSA (TRUMP) mfungaji wa goli Mchezo wa...
SAIDI MIRAJJI ABDALLA; "CUF JITAKARINI MURUDI MEZANI"
- Get link
- X
- Other Apps
MAKALA MAALUMU AMEIANDIKA SAIDI MIRAJI : TAFAKURI YA BABU. CUF MNAELEKEA WAPI JAMANI? Huko nyuma niliwahi kuandika makala fulani kuhusu mgogoro unaoendelea katika chama cha CUF na nikatanabahisha juu ya tabia ya kutukanana na kuanza kupigana wenyewe kwa wenyewe na athari zinazoweza kutokea. Bila ya kujali nani kafanya nini, baada ya tukio lililotokea leo la kushambuliwa waandishi wa habari, kupigwa watu kadhaa na wengine kujeruhiwa ikiwa ni pamoja na uharibifu wa mali; KWA MTAZAMO WANGU sasa wakati umefika wa kufanyika yafuatayo:- Viongozi wa CUF na wanachama wake watafakari kwa kina madhara ya mbegu wanayoipanda kwa chama chao, katika jamii, katika tasnia ya siasa na hata kwa wao wenyewe binafsi kama mtu mmoja mmoja na familia zao. Viongozi wa juu wa CFU wanaoongoza pande zinazo kinzana wakemee kwa dhati tena hadharani tabia hizi ovu na kuwataka wafuasi wao kuwa watulivu wakati wakitafuta haki ya kila upande huko mahakamani, tena bila kushutumiana. Mahakama iharakishe ...
- Get link
- X
- Other Apps
baada ya haji manara kupelekwa kwenye kamati ya nidhamu ya TFF makubwa yamemkuta HAJI SANDE MANARA. Kamati ya Nidhamu ya TFF, imetangaza kumfungia miezi 12 Msemaji wa Simba, Haji Manara. Pamoja na kufungiwa mwaka mmoja, Manara amepigwa faini ya Sh milioni 9. Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Nidhamu ya TFF, Wakili Jerome Msemwa amesema Manara amefungiwa miezi 12 kutokana na utovu wa nidhamu. Akizungumza na waandishi wa habari hivi punde, Msemwa amesema uamuzi huo umefikiwa baada ya kubaini Manara amefanya utovu mkubwa wa nidhamu kwa uwongozi wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania na viongozi wake na ili kulinda heshma ya shirikisho hilo ndio wakapitia kwa kina matamshi aliyoyatoa manara na kubaini utovu wa nidhamu huo.
NA MWANDISHI WETU BIN GHULLAM.
- Get link
- X
- Other Apps
UMOJA WA WATU WA TANGA ZANZIBAR WAZINDUA TIMU "TANGA CITY" umoja wa watu wa tanga visiwani zanzibar umezindua timu yao ambayo wameipa jina la TANGA CITY akiongea katika ghafla hiyo mgeni rasmi ambae ni mwenyekiti wa ZFA wilaya ya mjini ndugu HASSAN HAJJI HAMZA almaarufu COACH CHURA amewataka kutunza nidhamu na kuacha kutegemea wanasiasa katika kuendeleza shughuli zao za michezo. Katika nasaha zake hizo mwenyekiti wa FA MJINI CHURA amesema wakipewa chochote kutoka kwa mtu yoyote wapokee na wasiache ila waondoe tegemeo kutoka kwa wabunge na wawakilishi, jengine aliloliasa CHURA ni viongozi kujuwa wajibu wao na kuwa wastahamilivu wakati wa kusimamia majukumu yao kwa vile wanaweza kukutana na maonevu ya bahati mbaya au ya makusudi . Timu ya TANGA CITY imeanzishwa miezi nane iliyopita na kujipima nguvu na timu za madaraja kadhaa na kuweza kuzifunga hapo ndio walipoona ipo haja kuisajili timu hiyo kwenye chama cha mpira wa miguu wilaya ya mjini Akisoma risala ya timu ...
NA MWANDISHI WETU : BIN GHULLAM
- Get link
- X
- Other Apps
Mashindano makuu ya mpira wa kikapu kwa hapa Tanzania yanayo shirikisha timu kutoka pande mbili za jamuhuri ya muungano wa Tanzania kwa upande wa wanawake na wanaume yaliyofunguliwa jana tarehe 21/4/2017 yameendelea leo katika viwanja vya jimkana asubuhi saa mbili kwa upande wa wanawake timu ya MAFUNZO kwa kuwapigisha kwata KVZ kwa kuwanyuka point 77 dhidi ya 17 walizo ambulia KVZ. Mjira ya saa nne asubuhi ukaendelea mchezo mwengine wa wanawake mchezo uliokuwa wa kukamiana na wa ikushindani wa aina yake kati ya JKT vs AFRICA MAGIC mtanangea huo uliokuwa hauku tabiriwa nani ange mzidi ujanja mwenzake uliokuwa wa kuongozana kuwa point chache tokea kota ya mwanzo hadi ya mwisho ulimalizika kwa JKT point 53 dhidi ya 49 za AFRICA MAGIC. Mchana ligi hiyo ikaendelea kwa upande wa wanaume ambapo miamba miwili ikitokea pande mbili za jamuhuri ya muungano ili kutana kwenye uwanja huo huo wa jimkana kati ya TORNADO ikitokea kisiwani PEMBA VS JKT ikitokea j...
NA: ALI MOHAMMED ALI
- Get link
- X
- Other Apps
AMEANDIKA KATIKA UKUTA WAKE WA MTANDAO WA KIJAMII FACEBOOK: ALI MOH'D KIFO CHENGINE CHA KUSIKITISHA KILICHOSABABISHWA NA WATU WASIOJULIKANA ZANZIBAR. Kwa masikitiko makubwa sana nimepokea taarifa za masikitiko makubwa kutoka kwa ndugu yangu rafiki yangu Hashim Shawej , juu ya msiba wa rafiki yetu Abdalla Juma. (Allah Amrehemu, amsamehe madhambi yake na amuingize katika jana). Marehemu Abdalla Juma Slim ni mfanyakazi na nimpishi mahiri wa vyakula vya kimataifa (International Cuisine), kwa kazi yake hiyo usiku wa juzi tarehe 20/04/2017 alikuwa akitokea kazini mji mkongwe (Stone Town), alishuka gari ya kazini kwa Amani - Mabata ili apenye njia za ndani kuelekea nyumbani kwake Magomeni kwa mtumwa jeni, ndipo kikundi cha watu asio wajua wakamvamia kutaka kumkaba na kumuibia. Kwa kuwa aliwapa shida katika kutimiza azma yao hio, wakaamua kumnadia mwizi ndipo watu wa mtaani wa eneo hilo la Kwa Mabata wakamvamia kwa kumpiga vibaya sana na kumsa...
TAARIFA ZA KURITADI KWA IDDI THABIT ( IT ) ZA KANUSHWA NA MWENYEWE
- Get link
- X
- Other Apps
Kuna khabari zinaenea mitandaoni juu ya kijana IDDI THABIT (IT). kuwa ameritadi na taarifa hizo kuzagaa kwenye mitandao ya kijamii kwa kasi kubwa zikidai yakuwa IDDI ameritadi amezikanusha kauli hizo leo hii mchana wakati akifanyiwa mahojiano maalumu kwenye kipindi cha minus ten cha HITS FM RADIO Msanii mkongwe wa muziki wa Zenji Fleva,Iddi Thabit (I.T) ambaye pia alikuwa kiongozi wa nidhamu katika chama cha wasanii wa muziki wa kizazi kipya Zanzibar. IDDI amesema waliovumisha jambo hilo hawakuwa na nia njema kwake na walitaka kumuharibia jina lake mbele ya jamii ya kizanzibar na tanzania kiujumla. Akiongea kwa masikitiko wakati akihojiwa na mtangazaji na DJ maarufu visiwani zanzibar SAID ABDALLA au kwa jina maarufu DJ SIDE amesema ingekuwa hayupo kwenye nchi hii angekuwa yupo nje ya Tanzania jamii ingeamini lakini kwa vile kila saa yupo mitaani imekuwa shida kidogo kuaminika uvumi huo. hivyo basi IT amewataka wazanzibar kupuuza usemi huo na kumuombea dua mola wake amuepu...
kiongozi wa timu ya Polis Hamidi Fadhili azungumzia maandalizi ya timu yao
- Get link
- X
- Other Apps
ikiwa kesho ndio ufunguzi wa michuano ya Muungano ya Basketball inayotarajiwa kuzinduliwa rasmi na makamo wa pili wa rais balozi sefu aliy iddi itakayofanyika katika uwanja Gymkana na katika uzinduzi huu wa kesho watazindua timu kati ya Mbuyuni wakioneshana kazi dhidi ya bingwa mtetezi wa zanzibar katika michuano ya basketball Polis kipindi hiki kilifanikiwa kuzungumza na kiongozi wa timu ya Polis Hamidi Fadhili akizungumzia maandalizi ambayo waliojiandaa siku ya kesho dhidi ya Timu ya Mbuyuni wakati huo huo tayari timu kutoka kisiwani pemba na Tanzania bara zimeshawasili zanzibar kwajili ya mashindano hayo
- Get link
- X
- Other Apps
taasisi isiyo ya kiserikali ya FAWE - ZANZIBAR inayojishughulisha namaendeleoya mwanamke na mtoto wa kike,imeandaa mafunzo ya kuvijengea uwezo vikundi vitano vya ujasiriamali vya unguja ili kuviwezesha kukabiliana na ushindani wa kibiashara. mafunzo hayo yatafanyika kwa muda wa siku tatu kuanzia Ijumaa ya tarehe 21 april 2017, katika ukumbi wa chuo cha uchumi wa zamani ndani ya skuli ya ben bella saa 3 asubuhi, mratibu wa jumuiya hiyo BI. HINDA ABDALLAH, amevitaja vikundi hivyo kuwa ni tusife moyo, hatutaki kelele, na tupendane vyote vya unguja. mafunzo hayo yanayohusiana na elimu ya utafutaji wa masoko na jinsi ya kutatua changamoto zinazo wakabili katika vikundi vyao. yatakayotolewa na bi. salma salim omary kutoka taasisi ya usimamizi wa biashara Zanzibar. Zanzibar national chamber of comerce, vikundi hivyo vinajihusisha na shughuli za ufugaji kuku, utengenezaji wa sabuni na spice katika biashara zao walikuwa hawajui namna gani ya kukabiliana na ushindani wa kibiashara uli...
LIGI YA MUUNGANO YA MPIRA WA KIKAPU KUANZA KESHO KWENYE VISIWA VYA UNGUJA
- Get link
- X
- Other Apps
LIGI YA MUUNGANO YA MPIRA WA KIKAPU KUANZA KESHO KWENYE VISIWA VYA UNGUJA Ligi ya mpira wa kikapu kwa wanaume na wanawake washiriki wakitokea pande mbili za muungano yaani tanzania bara na Zanzibar anaanza kesho tarehe 21/04/2017 kwenye uwanja wa jimkana (kwa kimti), ufunguzi wa mashindano hayo utafanyika saa kumi huku ukipambwa na shamra shara za kuelekea tarehe 26 ambaopo taiata huadhimisha siku ya MUUNGANO wa TANGANYIKA na ZANZIBAR. Katika uzinduzi huo mgeni rasmi atakuwa ni makamo wa oili wa raisi wa serikali ya mapinduzi ya zanzibar BALOZI SEFU ALI IDDI mashindano haya hufanyika kila upande ambapo shughuli za sherehe ya maadhimisho ya siku ya muungano huandaliwa kwa mara hii maadhimisho yake yanatazamiwa yatafanyika zanzibar.
- Get link
- X
- Other Apps
LIGI KUU NCHINI ENGLAND:Chelsea na Tottenham zatawala kikosi bora Chelsea na Tottenham zimetawala kikosi cha wachezaji 11 bora wa Ligi ya Premia msimu huu ambacho kimetangazwa na Chama cha Wachezaji wa Soka ya Kulipwa Uingereza. Klabu zote mbili zina wachezaji wanne katika kikosi hicho. Mabeki Gary Cahill na David Luiz pamoja na viungo wa kati N'Golo Kante na Eden Hazard ndio wachezaji wa Chelsea waliojumuishwa kwenye kikosi hicho. Tottenham inawakilishwa na mabeki Kyle Walker na Danny Rose , kiungo wa kati Dele Alli na mshambuliaji Harry Kane. Mlindalango wa Manchester United David de Gea , Sadio Mane wa Liverpool na mshambuliaji wa Everton Romelu Lukaku pia wamo kwenye kikosi hicho. Kikosi bora cha msimu huu katika Ligi ya Daraja la Pili pia kimetangazwa ambapo wachezaji wanne wa klabu iliyopandishwa daraja hadi Ligi Kuu ya England, Brighton wakiwa kwenye kikosi hicho. Wachezaji hao ni golikipa David Stockdale , mabeki Bruno and Lewis Dunk...