taasisi isiyo ya kiserikali ya FAWE - ZANZIBAR inayojishughulisha
namaendeleoya mwanamke na mtoto wa kike,imeandaa mafunzo ya kuvijengea
uwezo vikundi vitano vya ujasiriamali vya unguja ili kuviwezesha kukabiliana na ushindani wa kibiashara.

mafunzo hayo yatafanyika kwa muda wa siku tatu kuanzia Ijumaa ya tarehe 21
april 2017, katika ukumbi wa chuo cha uchumi wa zamani ndani ya skuli
ya ben bella saa 3 asubuhi,

mratibu wa jumuiya hiyo BI. HINDA ABDALLAH, amevitaja vikundi hivyo
kuwa ni tusife  moyo, hatutaki kelele, na tupendane vyote vya unguja.

mafunzo hayo yanayohusiana na elimu ya utafutaji wa masoko na jinsi ya
kutatua changamoto zinazo wakabili katika vikundi vyao. yatakayotolewa
na bi. salma salim omary kutoka taasisi ya usimamizi wa biashara
Zanzibar.  Zanzibar national chamber of comerce,

vikundi hivyo vinajihusisha na shughuli za ufugaji kuku, utengenezaji
wa sabuni na spice katika biashara zao walikuwa hawajui namna gani ya kukabiliana na ushindani wa kibiashara uliopo hapa Zanzibar na ndio FAWE kwa kuliona hilo wameamua kuwakusanya pamoja ili kuwapatia mafunzo hayo yatakayo wasaidia kuendana na wakati kwenye shughuli zao za uzalishaji mali na kuachana na kufanya biashara kwa mazoweya ili sasa mara baada ya kuhitimu mafunzo hayo kuanza biashara tija yenye malengo ya mbali ndani yake

 .

Comments

michezo

MCHEZO WA KIRAFIIKI WASIMAMISHA VISIWA VYA ZANZIBAR KWA MASAA.

KUELEKEA MICHUANO YA KOMBE LA MAPINDUZI WAFAHAMU MABINGWA WA KOMBE HILO

Burudani ya mashindano ya Elimu bila malipo JKU na Makunduchi balaa.

TAARIFA ZA KURITADI KWA IDDI THABIT ( IT ) ZA KANUSHWA NA MWENYEWE

DABI YA JANG'OMBE TAIFA HOI,WALIMWA KADI NYEKUNDU