Posts

Chaneza Waanzisha mashindano mapya ili kuupa hamasa mchezo huo.

Image
Mashindano ya mpira wa pete kwa kuadhimisha moaka 55ya mapindizi ya Zanzibar yanatarajiwa kukata utepe hapo kesho katika uwanja wa jimkana saa kumi za jioni timu nane za kike zitashiriki mashindano hayo. Akiongea na kipindi hiki katibu mkuu wa chama cha mpira wa pete zanzibar Saidi Ali Mansab amesema maandalizi kwa upande wao yamekamilika na kinachosubiriwa ni wakati na filimbi kupuulizwa. Amesema mashindano hayo yamepewa baraka na kamati ya sherehe na mapambo kwa kuwawezesha chama cha Netbal kuandaa mashindano hayo Mashindano ya Mapinduzi Cup kwa netball ni ya kwanza kufanyika hapa Zanzibar na kwa mujibu wa katibu wa chaneza amesema wanatarajia kuwa endelevu ili kila mwaka yaweze kufanyika kwani wana malengo makubwa ya baadae.

VIJANA WA MJINI NA QASWAIDA NJEMA

Image

CUF ZNZ YAPONGEZA JUHUDI ZA RAIS SHEIN KWENYE ELIMU

Image

Mbuzi kula chakula hiki tena?

https://youtu.be/_icrC7Znucw

MICHEZO MIDOGO INAANZA KUIMARISHWA KUPITIA SHAMRASHAMRA ZA SHEREHE ZA MAPINDUZI

Image
Mchezaji Makame Juma (Ronaldo) amefanikiwa kushinda kombe la Draft Mapinduzi Cup baada ya kumfunga Azizi Abdallah (Ostadh) kwa mabao 2-0 katika mchezo wa fainali uliochezwa kwenye Maskani ya Stone Baret iliyopo Kibanda Maiti.    Akiyafunga Mashindano hayo Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja Idrissa Kitwana amesema lengo la Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ni kuinua michezo yote ili vijana wapate fursa mbali mbali kupitia michezo.   Nae Mbunge wa Jimbo Shaurimoyo Mattar Ali Salum ambae nae alishiriki    Katika Mashindano hayo, amesema msimu ujao wanatarajia kuyaboresha Mashindano hayo kwa kushirikisha wachezaji wengi kutoka majimbo tofauti huku mshindi akitarajiwa kupewa zawadi ya Mbuzi Mnyama.    Mchezaji Aziz Abdallah ambae ameshindwa kwenye fainali amezungumza na ZBC huku akisesema Mashindano hayo yalikuwa na ushindani mkubwa ambapo amekiri mpinzani wake alimzidi kiwango.   Bingwa wa Mashindano hayo Makame Juma (Ronaldo) amesema alijiandaa...

ZYBA yajikita kuinua mchezo wa basketball zanzibar.

Image
ZYBA yajikita kuinua mchezo wa basketball zanzibar.    Wakiongea na waamdishi wa habari wakati wa uzinduzi wa kampeni ya inua mchezo wa basketball ambayo ilifanika kwenye skuli ya urafiki iliyopo mwana kwerekwe C wilaya ya magharibi B unguja    Katibu wa ZYBA ndugu AZIZ SALUM amesema wamaamua kulifanya hilo ili kuenzi kile walichokivuna kutoka kwa walimu ambao waliwafundisha mchezo huo .  Aziz amesema kutokana na kuona mchezo wa basketball unaelekea kushuka ndio maana wakaamua kuja na suluhisho la kuibua wachezaji kupitia mashuleni yaliyopo visiwani Zanzibar.   Nae mwalimu wa michezo wa skuli ya urafiki mwalimu ABDALA HASSAN amewaasa wanafunzi kuupenda mchezo huo ili uwaletee tija maishani, akitilia mkazo maneno yake ametolea mfano vijana wawili ambao wansoma nchini UGANDA kwa kupitia mchezo huo wakilipiwa gharama zote za masomo ambao walikuwa ni miongoni mwa walioandamana na msafara huo kama YASIR MUHAMMED ALI.    Akianzia kutoa maele...
WANAFUNZI WAMEASWA KUENDELEA NA KIADATO CHA TANAO NA SITA KWENYE ELIMU YA SEKONDARI ILI KUEPUKA USUMBUFU UNAOWEZA KUJA KUWAKUTA HAPO BAADAE WATAKAPOTAKIWA KUTHIBITISHWA NA MAMLAKA ZA ELIMU YA JUU TANZANIA HAYO YAMEELEZWA NA MKURUGENZI WA BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU ZANZIBAR NDUGU   IDDI KHAMISI  KATIKA MAHAFALI YA THELATHINI NA MOJA YA SHULE YA SEKONDARI YA NYUKI TPDF YALIYOFANYIKA SHULENI KWAO MWANAKWEREKWE MJINI UNGUJA NDUGU IDDI KHAMIS AMEWAASA WAZAZI NA WANAFUNZI KUFUATA UTARATIBU WA KIDATO CHA TANO NA SITA KWANI NDIO UNAOTAMBULIWA NA MFUMO WA ELIMU TANZANIA NA KUACHA KUTUMIA NJIA ZA MKATO ZA KUTOKA KIDATO CHA NNE KWENDA DIGIRII HAUKUBALIKI NAE MKURUGENZI WA IDARA YA ELIMU YA SEKONDARI YA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI ZANZIBAR BI ASIA IDI ISSA AMEWATAKA WANAFUNZI KUTUMIA KIPINDI HICHO CHA KUSUBIRIA MATOKEO KUJISOMEA MASOMO YA KOMPUTER,KOZI ZA KIINGEREZA NA LUGHA NYENGINE ILI KUWAJENGEA MISINGI YA ELIMU MBELE WANAKO ELEKEA AKITOA NENO LA SHUKRANI MWALIMU ...