ZYBA yajikita kuinua mchezo wa basketball zanzibar.

Wakiongea na waamdishi wa habari wakati wa uzinduzi wa kampeni ya inua mchezo wa basketball ambayo ilifanika kwenye skuli ya urafiki iliyopo mwana kwerekwe C wilaya ya magharibi B unguja
Katibu wa ZYBA ndugu AZIZ SALUM amesema wamaamua kulifanya hilo ili kuenzi kile walichokivuna kutoka kwa walimu ambao waliwafundisha mchezo huo .
Aziz amesema kutokana na kuona mchezo wa basketball unaelekea kushuka ndio maana wakaamua kuja na suluhisho la kuibua wachezaji kupitia mashuleni yaliyopo visiwani Zanzibar.
Nae mwalimu wa michezo wa skuli ya urafiki mwalimu ABDALA HASSAN amewaasa wanafunzi kuupenda mchezo huo ili uwaletee tija maishani, akitilia mkazo maneno yake ametolea mfano vijana wawili ambao wansoma nchini UGANDA kwa kupitia mchezo huo wakilipiwa gharama zote za masomo ambao walikuwa ni miongoni mwa walioandamana na msafara huo kama YASIR MUHAMMED ALI.
Akianzia kutoa maelezo mafupi kocha mzoefu wa kufundisha basketball vijana kocha ABDALLA MANZI amewataka watoto kuchaza na kusoma ili wawe na makuzi mazuri na uelewa wanapokuwa darasani na hata nyumbani na kuwaasa wasichana kuupenda mchezo huo kwa vile unafursa nyingi za kutoka nje ya nchi ikiwa nipamoja na kuchaguliwa kwenye timu za taifa.
Zanzibar Youth Basketball Association hii ni taasisi ilioundwa kwa lengo la kuimarisha na kuhuwisha mchezo wa basketball zanzibar
Uhuwishaji wa michezo uende sambamba na kujitolea kwa vile mpaka leo hakuna taasisi ambayo inakubali kudhamini wanamichezo kukuza michezo nchini.

Comments
Post a Comment