WASARIFU VYUMA WAKUTANA FAINALI



Chuo cha ufundi JKU na Chuo cha ufundi Mkokotoni watakutana fainali ya mpira wa miguu baada ya ushindi wa changamoto ya mikwaju ya penati na kuwaondoa mwanakwerekwe VTC kwa JKU na makunduchi kwa Mkokotoni.
JKU waliwafungashia virago wachonga mbao wa kwerekwe kwa jumla ya penati 5 kwa 4 huku Mkokotoni iliwaduwaza ndugu zao makunduchi kwa bakora 4-3 katika viunga vya Dole Olympic 
Mkokotoni watakutana na JKU kwenye fainali kila timu ikijinasibu kutaka heshima ya kisiwa unguja


Comments

michezo

MCHEZO WA KIRAFIIKI WASIMAMISHA VISIWA VYA ZANZIBAR KWA MASAA.

KUELEKEA MICHUANO YA KOMBE LA MAPINDUZI WAFAHAMU MABINGWA WA KOMBE HILO

TAARIFA ZA KURITADI KWA IDDI THABIT ( IT ) ZA KANUSHWA NA MWENYEWE

Burudani ya mashindano ya Elimu bila malipo JKU na Makunduchi balaa.

DABI YA JANG'OMBE TAIFA HOI,WALIMWA KADI NYEKUNDU