MAITI YANG'ANG'ANIIA JENENZA



 Mvua yawapatia suluhu Al-Asaah licha ya ugeni wao mbele ya wenyeji Wa mashindano hayo Experience VTC .

Mchezo Wa kwanza Wa mashindano ya elimu bila malipo kwa mkoa wa mafunzo ya Amali umekamilika kwa kugawanya alama vyuo hivyo hapo katika viunga vya MAO the Dong asubuhi ya Leo.

Katika Mchezo huo ulishuhudia mchezaji  chuo cha.Experience akiwa Wa kwanzaa kupigwa umeme akiyaanza vibaya mashindano hayo kwa ajili ya kunusuru timu yake kupata aibu mbele ya vyuo mbali mbali vilivyokuepo uwanjani hapo.

Mechi Nyengine zitachezwa hapo kesho kwa michezo miwili

Mubarrak Al Mazrui vs Makunduchi ,JKU vs Adult Forodhani

Karume vs ICPS , Al-Asaah VTC vs Kwerekwe

Comments

michezo

MCHEZO WA KIRAFIIKI WASIMAMISHA VISIWA VYA ZANZIBAR KWA MASAA.

KUELEKEA MICHUANO YA KOMBE LA MAPINDUZI WAFAHAMU MABINGWA WA KOMBE HILO

TAARIFA ZA KURITADI KWA IDDI THABIT ( IT ) ZA KANUSHWA NA MWENYEWE

Burudani ya mashindano ya Elimu bila malipo JKU na Makunduchi balaa.

DABI YA JANG'OMBE TAIFA HOI,WALIMWA KADI NYEKUNDU