SERIKALI YA ZANZIBAR YAJIANDAA NA UJENZI WA SPITALI KUBWA YENYE CHUO NDANI YAKE.



STATE HOUSE ZANZIBAR
OFFICE OF THE PRESS SECRETARY
PRESS RELEASE

Zanzibar Mei 18, 2020

RAIS wa Zanzibar naMwenyekitiwaBaraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza azma ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuanza ujenzi wa hospitali ya rufaa na kufundishia huko Binguni, Wilayaya Kati Mkoa wa Kusini Unguja hivi karibuni.

Dk. Shein amesema hayo leowakati alipofanya ziara ya kulitembelea eneo linalokusudiwa kujenga hospitali hiyo Binguni na kupata maelezo kutoka kwa wataalamu na uongozi wa Wizara ya Afya.

Katika maelezo yake Rais Dk. Shein alisema kuwa Serikali iko tayari kuanza kwa ujenzi huo baada kukamilika mipango yake ya mudamrefu,  hivyo tayari imeamua ujenzi huo kuanza hivi karibuni.

Rais Dk. Shein alisema ujenzi huo utafanywa na Kampuni ya Ujenzi ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar  kupitia fedha za mkopo ambapo kwakuanzia matayarisho yake yatafanywa kwa fedha za Serikali.

AlielezakwuamaandaliziyakotayarinandiomaanaviongoziwotewaBaraza la MapinduziwakiwemoMawazirinaManaibuMawaziriwakaamualeokwendakatikaeneohilonakupatamaelezojuuyaujenzihuo.

ViongozihaowaliongozwanaRais Dk. SheinambayepianiMwenyekitiwaBaraza la Mapinduzi, MakamomwaPiliwaRaisBaloziSeif Ali IddpamojanaKatibuwaBaraza la MapinduzinaKatibuMkuuKiongozi Dk. AbdulhamidYahyaMzee.

BaadayakuangaliaeneohilonakupatamaelezoRaisnaujumbe wake waBaraza la MapinduzipamojanaviongoziwenginewaSerikaliyaMapinduziya Zanzibar walitembeleaeneolinalokusudiwakujengwajengo la UchunguziwaVirusivyamaradhimakuulililopondaniyaTaasisiyaAfyahapoBinguni.

Akiwakatikajengohilo, Rais Dk. SheinalipatamaelezonataarifayamaandaliziyaujenzihuokutokakwawataalamunaViongoziwaWizarayaAfya.

Dk. SheinlisemaSerikaliimeamuaujenzihuokuanzabaadayahatuazamaandalizikukamilikaikiwemoupatikanajiwafedha, michoronaramaninahivyoakaitakatimuyawataalamukukaapamojailikuwanasautimojakatikautekelezajiwakazihiyonakupataufanisi.

AlisemadhamirayaSerikaliyakujikitakatikakufanyauchunguziwamaradhimbalimbaliipopale pale, kwakigezokuwahakunatibamuafakabilakufanyikauchunguzi.

Aidhaalisema, juhudizakukabiliananaugonjwawa Corona zimepatamafanikio, tofautinailivyotarajiwawakatiugonjwahuoulivyoingianchininakubainishadhamirayaSerikalizakutokufichatakwimuzawagonjwawanaopatamaradhihayo.

AlisemaSerikaliyaMapinduziya Zanzibar ikotayarikupokeaushauriwowoteunaolengakuungamkonojuhudizakekatikakukabiliananaugonjwahuu, kwamisingikuwa wale wanaotoaushariwafuatetaratibunamiongozoiliyowekwa.

Sambambanahayo, Rais Dk. SheinalisisitizakuwasibusaraviongoziwakaanzakushindanakwamasualayamaradhinakuelezakuwayeyeniRaiswa Zanzibar naMwenyekitiwaBaraza la Mapinduzi, hivyohanahajayakushindanana wale wanaopitakuenezamanenoyasionamsingijuuyamaradhiya Corona.

Alielezahajakwaviongoziwanaohusikakukaapamojanakuzungumzapamojakwaazmayakukubaliananamambo yamsingi

Aidha, Dk. SheinalisemaujiowamashineyauchunguziwaCovid 19 utasaidiasanajuhudizaserikalikuukabiliugonjwahuonakubainishakuwamashinehiyoinawezakuwekwamahalapopoteitakapoonekanainafaa.

Comments

michezo

MCHEZO WA KIRAFIIKI WASIMAMISHA VISIWA VYA ZANZIBAR KWA MASAA.

KUELEKEA MICHUANO YA KOMBE LA MAPINDUZI WAFAHAMU MABINGWA WA KOMBE HILO

Burudani ya mashindano ya Elimu bila malipo JKU na Makunduchi balaa.

TAARIFA ZA KURITADI KWA IDDI THABIT ( IT ) ZA KANUSHWA NA MWENYEWE

DABI YA JANG'OMBE TAIFA HOI,WALIMWA KADI NYEKUNDU