Posts
Mchezaji wa timu ya ZFDC inayoshiriki ligi daraja la pili wilaya ya mjini Zanzibar.
- Get link
- X
- Other Apps
KUELEKEA MICHUANO YA KOMBE LA MAPINDUZI WAFAHAMU MABINGWA WA KOMBE HILO
- Get link
- X
- Other Apps
ORODHA YA MABINGWA KOMBE LA MAPINDUZI TANGU MWAKA 2007 LILIPOANZISHWA SASA LIKIWA LA 15 Mashindano ya 15 ya Kombe la Mapinduzi yanatarajiwa kuanza rasmi January 5, 2021 katika uwanja wa Amaan kati ya Mabingwa Watetezi Mtibwa dhidi ya Chipukizi saa 10:00 za jioni na Yanga dhidi ya Jamhuri Saa 2:15 usiku. Azam wanaongoza kubeba Kombe hilo baada ya kutwaa mara 5 wakifuatiwa na Simba (3), kisha Mtibwa (2). 2007 Bingwa Yanga, Mshindi wa Pili Mtibwa Sugar 2008 Bingwa Simba, Mshindi wa Pili Mtibwa Sugar 2009 Bingwa Miembeni, Mshindi wa Pili KMKM 2010 Bingwa Mtibwa Sugar Mshindi wa 2 Ocean View 2011 Bingwa Simba Mshindi wa Pili Yanga 2012 Bingwa Azam Mshin di wa Pili Jamhuri 2013 Bingwa Azam Mshindi wa Pili Tusker FC 2014 Bingwa KCCA Mshindi wa Pili Simba 2015 Bingwa Simba SC, Mshindi wa Pili Mtibwa Sugar 2016 Bingwa URA, Mshindi wa Pili Mtibwa Sugar 2017 Bingwa Azam, Mshindi wa Pili SIMBA 2018 Bingwa Azam, Mshindi wa Pili URA 2019 Bingwa Azam, Mshindi wa Pil...
Mafunzo ya madactari wa michezo yafunguliwa visiwani Zanzibar.
- Get link
- X
- Other Apps
You tube imejaribu mfumo wa video ndogo kwenye simu za Smart.
- Get link
- X
- Other Apps
YouTube Testing TikTok-Like Short Video Format on Android, iOS..! 📲 YouTube is testing a new feature on its mobile apps that will allow users to create and upload short 15-second clips, similar to TikTok. The feature is currently available to limited users, and a mass rollout can be expected after the testing phase is over. The development was announced by YouTube on its support website. In April, a report had indicated the arrival of this feature, adding that the company may call it 'YouTube Shorts.' 📲 The Alphabet-owned video platform in a post explains that the feature will allow creators to record multiple clips directly in the YouTube mobile app and upload as one video. If the video is less than 15 seconds long, it can be directly uploaded on to the platform, after recording. However, if the user wishes to upload a clip longer than 15 seconds, it needs to be uploaded from the phone gallery, the company adds.  📲 As mentioned, this f...
KUELEKEA KUENDELEA KWA LIGI KUU ZANZIBAR KESHO JIONI NI SEMINA ELEKEZI
- Get link
- X
- Other Apps

NA: ALI GHULLAM Shirikisho la mpira wa miguu visiwani Zanzibar (ZFF) likishirikiana na Madaktari wanaoshughulikia na janga la COVID-19 watafanya semina elekezi juu ya nmna ya kuingia na kusimamia michezo wakati ligi kuu ikirejea kwa wale watakao ruhusiwa kuingia viwanjani. Ameyasema hayo kaimu katibu mkuu wa shirikisho la mpira Zanzibar ndugu ALI AMEIR VUAI wakati akizungumza na VISIWANI ZANZIBAR BLOG ofisini kwake AMANI mjini Zanzibar amesema semina hiyo itafanyika saa kumi jioni kwenye uwanja wa AMANI na kushirikisha viongozi wa vilabu, Waandishi wa habari za michezo, Waamuzi, wasimamizi wa viwanjani, Wafanyakazi wa shirikisho la mpira na makocha ili kucheza mpira katika mazingira salama. Amesema semina hiyo ni miongoni mwa makubaliano yaliyofikiwa siku ya jumanne kwenye kikao cha madaktari wa vilabu waliokaa kwenye ukumbi wa mikutano wa shirikisho hilo walipokwenda kupewa miongozo ya namna ya utekelezaji wa majukumu yao viwanjani ikiwa Dunia inaendelea kusimama ...