KWA WAPENZI WA SOKA VISIWANI ZANZIBAR SIKU YA JUMANNE VISIWA VITASIMAMA KWA DAKIKA KADHAA KUPISHA MECHI YA TIMU MBILI KALI KATI YA MIEMBENI CITY VS KMC AMBAZO KILA MOJA INAFAANYA MAANDALIZI KUELEKEA KUANZA LIGI. IKUMBUKWE KWA KMC HIYO ITAKUWA MECHI YAKE YA MWISHO YA KIRAFIKI VISIWANI ZANZIBAR IMESHACHEZA MECHI TANO NA KUSHINDA ZOTE SASA JE MIEMBENI CITY WATAWEZA KUVUNJA RECORD HIYO? WAKATI MIEMBENI CITY ISHACHEZA MICHEZO MITATU IKI SULUHU MMOJA NA KUSHINDA MICHEZO MIWILI TIMU YA MANISPAA YA KINONDONI AMBAYO INANOLEWA NA KOCHA MAARUFU TANZANIA FRED FELIX MINZIRO AMBAE AMESHAWAHI KUFUNDISHA TIMU YA YANGA,JKT RUVU,SINGIDA UNITED AMBAYO MARA BAADA YA KUIPANDISHA DARAJA AKAHAMA NA KUHAMIA TIMU HIYO YA MANISPAA YA KINONDONI FRED FELIX MINZIRO KWA MARA YA KWANZA ATASHUKA UWANJANI KIUNGO MATATA WA MIEMBENI CITY ALIEKUWA AKIHUDUMU JANG'OMBE BOYS KWA MKATABA MAALUM KIUNGO HUYO MKABAJI ABUDULSWAMAD ALMAARUF KAMA HAZGUT
ORODHA YA MABINGWA KOMBE LA MAPINDUZI TANGU MWAKA 2007 LILIPOANZISHWA SASA LIKIWA LA 15 Mashindano ya 15 ya Kombe la Mapinduzi yanatarajiwa kuanza rasmi January 5, 2021 katika uwanja wa Amaan kati ya Mabingwa Watetezi Mtibwa dhidi ya Chipukizi saa 10:00 za jioni na Yanga dhidi ya Jamhuri Saa 2:15 usiku. Azam wanaongoza kubeba Kombe hilo baada ya kutwaa mara 5 wakifuatiwa na Simba (3), kisha Mtibwa (2). 2007 Bingwa Yanga, Mshindi wa Pili Mtibwa Sugar 2008 Bingwa Simba, Mshindi wa Pili Mtibwa Sugar 2009 Bingwa Miembeni, Mshindi wa Pili KMKM 2010 Bingwa Mtibwa Sugar Mshindi wa 2 Ocean View 2011 Bingwa Simba Mshindi wa Pili Yanga 2012 Bingwa Azam Mshin di wa Pili Jamhuri 2013 Bingwa Azam Mshindi wa Pili Tusker FC 2014 Bingwa KCCA Mshindi wa Pili Simba 2015 Bingwa Simba SC, Mshindi wa Pili Mtibwa Sugar 2016 Bingwa URA, Mshindi wa Pili Mtibwa Sugar 2017 Bingwa Azam, Mshindi wa Pili SIMBA 2018 Bingwa Azam, Mshindi wa Pili URA 2019 Bingwa Azam, Mshindi wa Pili Simba 2020 Bingwa Mtibwa, M
Muendelezo wa mashindano hayo ya Elimu bila malipo kwa mkoa wa vyuo vya mafunzo ya amali yameingia siku ya tatu kwa kushuhudia timu ya Makunduchi ikitoa dozi ya kipigo cha makoa ya mwaka kogwa kwa wanagenzi wa mashindano hayo Timu ya ZOI cha goli nne bila majibu huku Chuo cha JKU kikifanya mauwaji kwa waunga maji mitaani ZAWA kwa kipigo cha goli 6 bila majibu, Vijana wa forodhani waburudishaji wakigawana na wahudumu wa hoteli na mkokotoni kwa sare ya goli moja kwa moja, na watafsiri maneno kwenda ishara chuo cha Inclusive kimesitishwa mwendo na vija wa mjini chuo cha Zanzibar Commercial kwa nyundo moja bila jibu. Burudani hiyo itaendelea kesho katika viwanja vya kikwajuni A na B kwa michezo minne Microtech dhidi ya Mwenge, Al Mubarak dhidi ya JKU ICPS watawsalika Mwanakwerekwe na Green Woman watakaribishwa na wageni wenzao ZOI.
Kuna khabari zinaenea mitandaoni juu ya kijana IDDI THABIT (IT). kuwa ameritadi na taarifa hizo kuzagaa kwenye mitandao ya kijamii kwa kasi kubwa zikidai yakuwa IDDI ameritadi amezikanusha kauli hizo leo hii mchana wakati akifanyiwa mahojiano maalumu kwenye kipindi cha minus ten cha HITS FM RADIO Msanii mkongwe wa muziki wa Zenji Fleva,Iddi Thabit (I.T) ambaye pia alikuwa kiongozi wa nidhamu katika chama cha wasanii wa muziki wa kizazi kipya Zanzibar. IDDI amesema waliovumisha jambo hilo hawakuwa na nia njema kwake na walitaka kumuharibia jina lake mbele ya jamii ya kizanzibar na tanzania kiujumla. Akiongea kwa masikitiko wakati akihojiwa na mtangazaji na DJ maarufu visiwani zanzibar SAID ABDALLA au kwa jina maarufu DJ SIDE amesema ingekuwa hayupo kwenye nchi hii angekuwa yupo nje ya Tanzania jamii ingeamini lakini kwa vile kila saa yupo mitaani imekuwa shida kidogo kuaminika uvumi huo. hivyo basi IT amewataka wazanzibar kupuuza usemi huo na kumuombea dua mola wake amuepushe
NA BIN GHULLAM DABI YA JANG'OMBE TAIFA HOI,WALIMWA KADI NYEKUNDU, WASHABIKI WAREMBEA CHUPA ZA MAJI UWANJANI mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa AMANI tarehe 25/4/2017 kati ya TAIFA YA JANGO'MBE wakombozi wa ng'ambu dhidi ya JANG'OMBE BOYS umemalizika kwa timu ya JANG'OMBE BOYS kushinda kwa goli moja kwa bila goli lililofongwa kwenye kipindi cha pili cha mchezo huo mpaka kipindi cha kwanza kinamalizika hakuna alieweza kuliona lango la mwenzake ikihesabika kwenye score boad 0-0 pia hata kadi moja ilikuwa bado haijatolewa licha ya mchezo huo kuchezwa kwa kukamiana pande zote mbili Dakika chache tu kurudi katika mapumziko ndipo zikaanza kutolewa kadi ya kwanza ya njano kuoneshwa mchezaji Andrian Mutu na baadae kuja kuoneshwa ya pili na kufutiwa na kadi nyekundu. Hadi mwisho wa mchezo BOYS 1 - 0 TAIFA ambapo mfungaji akiwa ni KAMİS MUSSA (TRUMP) DKK 86 KAMİS MUSSA (TRUMP) mfungaji wa goli Mchezo wa Dabi ya Jang’ombe wa ligi kuu soka ya Zanzi
Comments
Post a Comment