MCHEZO WA KIRAFIIKI WASIMAMISHA VISIWA VYA ZANZIBAR KWA MASAA.
KWA WAPENZI WA SOKA VISIWANI ZANZIBAR SIKU YA JUMANNE VISIWA VITASIMAMA KWA DAKIKA KADHAA KUPISHA MECHI YA TIMU MBILI KALI KATI YA MIEMBENI CITY VS KMC AMBAZO KILA MOJA INAFAANYA MAANDALIZI KUELEKEA KUANZA LIGI. IKUMBUKWE KWA KMC HIYO ITAKUWA MECHI YAKE YA MWISHO YA KIRAFIKI VISIWANI ZANZIBAR IMESHACHEZA MECHI TANO NA KUSHINDA ZOTE SASA JE MIEMBENI CITY WATAWEZA KUVUNJA RECORD HIYO? WAKATI MIEMBENI CITY ISHACHEZA MICHEZO MITATU IKI SULUHU MMOJA NA KUSHINDA MICHEZO MIWILI TIMU YA MANISPAA YA KINONDONI AMBAYO INANOLEWA NA KOCHA MAARUFU TANZANIA FRED FELIX MINZIRO AMBAE AMESHAWAHI KUFUNDISHA TIMU YA YANGA,JKT RUVU,SINGIDA UNITED AMBAYO MARA BAADA YA KUIPANDISHA DARAJA AKAHAMA NA KUHAMIA TIMU HIYO YA MANISPAA YA KINONDONI FRED FELIX MINZIRO KWA MARA YA KWANZA ATASHUKA UWANJANI KIUNGO MATATA WA MIEMB...