TUTAWAGUNDUA WOTE WANAOINGIZA DAWA ZA KULEVYA ZANZIBAR
Na mwandishi wetu.
Licha
ya serikali kupambana vikali na tatizo
la uingizaji na utumiaji wa dawa za
kulevya lakini bado tatizo hilo linaendelea kuwa endelevu katika maeneo mengi
nchini tanzania.
Akiongea
na mwandishi wetu huko ofisi ya wilaya ya kusini unguja Dr IDRISA MUSLIM HIJJA
amefahamisha kuwa kwa wale wanaojinufaisha kwa kuathiri wengine amboa kundi
lengwa la wapenda kuiga mambo yasiyo na faida kwao, Dr Idrisa amesema ijulikane kuwa waathirika wakuu wa dawa hizo ni
vijana na ndio nguvukazi na tegemeo la taifa lololte katika kulipa maendeleo.
Hivyo wakati umefika kwa vijanao kuijua thamani yao kwa kuachana na vitendo
hivo ili kwa usalama wa afya zao na
maendeleo ya taifa.
hata hivyo mkuu wa mkoa huyo DR. IDRISA MUSLIM
HIJJA wakati akizungumzia mikakati na hatua walizochukua kwa wale wote wanaojihusisha na uingizaji na
usambazaji wa dawa za kulevya huko ofisi ya wilaya ya kusini
ilioko makundundichi mkoa wa kusini unguja.
Amesema
tayari ameshapeleka ripoti maalumu kwa RAISI ili kuweza kufanyiwa kazi wale
wato walioshukiwa na upigaji wa taifa kwa njia hizo za kujihusisha na kuiyangamiza jamii yetu
dhidi ya usambazaji wa dawa za kulevya.
Comments
Post a Comment