WANAFUNZI WAMEASWA KUENDELEA NA KIADATO CHA TANAO NA SITA KWENYE ELIMU YA SEKONDARI ILI KUEPUKA USUMBUFU UNAOWEZA KUJA KUWAKUTA HAPO BAADAE WATAKAPOTAKIWA KUTHIBITISHWA NA MAMLAKA ZA ELIMU YA JUU TANZANIA HAYO YAMEELEZWA NA MKURUGENZI WA BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU ZANZIBAR NDUGU IDDI KHAMISI KATIKA MAHAFALI YA THELATHINI NA MOJA YA SHULE YA SEKONDARI YA NYUKI TPDF YALIYOFANYIKA SHULENI KWAO MWANAKWEREKWE MJINI UNGUJA NDUGU IDDI KHAMIS AMEWAASA WAZAZI NA WANAFUNZI KUFUATA UTARATIBU WA KIDATO CHA TANO NA SITA KWANI NDIO UNAOTAMBULIWA NA MFUMO WA ELIMU TANZANIA NA KUACHA KUTUMIA NJIA ZA MKATO ZA KUTOKA KIDATO CHA NNE KWENDA DIGIRII HAUKUBALIKI NAE MKURUGENZI WA IDARA YA ELIMU YA SEKONDARI YA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI ZANZIBAR BI ASIA IDI ISSA AMEWATAKA WANAFUNZI KUTUMIA KIPINDI HICHO CHA KUSUBIRIA MATOKEO KUJISOMEA MASOMO YA KOMPUTER,KOZI ZA KIINGEREZA NA LUGHA NYENGINE ILI KUWAJENGEA MISINGI YA ELIMU MBELE WANAKO ELEKEA AKITOA NENO LA SHUKRANI MWALIMU MKUU WA S
Posts
Showing posts from December, 2017