Posts

Showing posts from December, 2020

KUELEKEA MICHUANO YA KOMBE LA MAPINDUZI WAFAHAMU MABINGWA WA KOMBE HILO

ORODHA YA MABINGWA KOMBE LA MAPINDUZI TANGU MWAKA 2007 LILIPOANZISHWA SASA LIKIWA LA 15 Mashindano ya 15 ya Kombe la Mapinduzi yanatarajiwa kuanza rasmi January 5, 2021 katika uwanja wa Amaan kati ya Mabingwa Watetezi Mtibwa dhidi ya Chipukizi saa 10:00 za jioni na Yanga dhidi ya Jamhuri Saa 2:15 usiku.  Azam wanaongoza kubeba Kombe hilo baada ya kutwaa mara 5 wakifuatiwa na Simba (3), kisha Mtibwa (2). 2007 Bingwa Yanga, Mshindi wa Pili Mtibwa Sugar 2008 Bingwa  Simba, Mshindi wa Pili Mtibwa Sugar 2009 Bingwa Miembeni, Mshindi wa Pili KMKM 2010 Bingwa Mtibwa Sugar Mshindi wa 2 Ocean View 2011 Bingwa Simba  Mshindi wa Pili Yanga  2012 Bingwa Azam Mshin di wa Pili Jamhuri 2013 Bingwa Azam Mshindi wa Pili Tusker FC 2014 Bingwa KCCA Mshindi wa Pili Simba  2015 Bingwa Simba SC, Mshindi wa Pili Mtibwa Sugar 2016 Bingwa URA, Mshindi wa Pili Mtibwa Sugar 2017 Bingwa Azam, Mshindi wa Pili SIMBA  2018 Bingwa Azam, Mshindi wa Pili URA 2019 Bingwa Azam, Mshindi wa Pil...