POLICE (WAZEE WA TUNISIA) NI TIMU PEKEE ILIYOSHINDWA KUTIKISA NYAVU ZA WENGINE Timu ya police Zanzibar mpaka sasa imeshacheza michezo mitano kwenye ligi kuu soka Zanzibar ikitoka sare nne za bila kufungana ambapo mchezo wa jana wakicheza na mlandege wakikubali kipigo kibaya Cha goli tano kwa sifuri. Timu yapolisi inayofumdishwa na alikuwa kocha wa kikosi cha Zanzibar under -20 Nasour Salum kidodi wadau wakisema bado kocha huyo anaandamwa na mzimu wa Karume boys wa matokeo mabaya waliyoyapata kwenye michuano ya challenge nchini Uganda Michezo mengine aliyocheza Polisi Zanzibar (Wazee wa Tunisia) Michezo Mitano #ZanzibarPL Ni; ⚽POLISI 0️⃣-0️⃣MALINDI ⚽POLISI 0️⃣-1️⃣JKU ⚽POLISI 0️⃣-0️⃣MAFUNZO ⚽POLISI 0️⃣-0️⃣MACHOMANE ⚽POLISI 0️⃣-5️⃣MLANDEGE Ukiachia matokeo ya Jana ilikuwa pia ni timu ya Polisi ni ngumu kufungika . Ligi kuu Zanzibar ambayo kwasasa inaanza kupitia kipindi kigumu kutokana na kukosa mdhamini hali inayopelekea timu za Pemba mbili kushindwa kufika unguja kwenye...
Posts
Showing posts from October, 2019